TAARIFA FUPI YA RUPOTI HESHIMA: RETREAT YA WAJANE

Kutoka: Pr. Isack – Mkurugenzi MAMM

Hali: Faragha Imekamilika kwa Ufanisi

Muhtasari wa Matumizi na Bajeti

Faragha ya wajane imefanyika kwa ufanisi na baraka tele. Uchanganuzi wa matumizi yote yaliyofanyika ni kama ufuatao:

  • Take Home (Kifuta Machozi kwa Wajane): Tsh 700,000
  • Usafiri (Kwenda na Kurudi): Tsh 498,000
  • Chakula, Mapambo, Picha/Kamera, Jikoni, Usafi na Mahitaji Maalum: Tsh 1,754,000

JUMLA KUU: Tsh 2,952,000

Tunatoa shukrani za dhati kwa Mungu wetu na asante sana kwa ushirikiano wako mwema uliowesha ufanisi wa huduma hii.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *