Kutoka: Pr. Isack – Mkurugenzi MAMM
Hali: Faragha Imekamilika kwa Ufanisi
Muhtasari wa Matumizi na Bajeti
Faragha ya wajane imefanyika kwa ufanisi na baraka tele. Uchanganuzi wa matumizi yote yaliyofanyika ni kama ufuatao:
- Take Home (Kifuta Machozi kwa Wajane): Tsh 700,000
- Usafiri (Kwenda na Kurudi): Tsh 498,000
- Chakula, Mapambo, Picha/Kamera, Jikoni, Usafi na Mahitaji Maalum: Tsh 1,754,000
JUMLA KUU: Tsh 2,952,000
Tunatoa shukrani za dhati kwa Mungu wetu na asante sana kwa ushirikiano wako mwema uliowesha ufanisi wa huduma hii.