Ombi la Ufadhili: Faragha ya Wajane Watumishi 2026 (Cluster ya Mwanza)

Kutoka: Pr Isack – Mkurugenzi, Mama Askofu Magesa Ministry Kwenda Kwa: Mtumishi wa Mungu Aliye Juu Sana Amani na Salama zikufikie. Wito wa Huduma na Upendo Bwana Yesu Kristo apewe sifa! Huduma ya Mama Askofu Magesa Ministry inakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya kazi kubwa anayoendelea kuifanya kupitia…

Shukrani na Rejesho la Huduma kwa Wajane Eneo la Lugeye

Tunamshukuru Mwenyezi Mungu aliye juu kwa kutuwezesha kukamilisha kikamilifu huduma ya kuwahudumia wajane katika eneo la Lugeye. Upendo na ushirikiano wenu umerudisha tabasamu na matumaini makubwa kwa mama zetu hawa. Katika huduma hii iliyofanyika, tumeweza kufanikisha yafuatayo: Wajane waliopokea misaada hii wametoa shukrani zao za dhati kabisa kwa kila mmoja aliyeshiriki kufanikisha jambo hili kubwa…