Shukrani na Rejesho la Huduma kwa Wajane Eneo la Lugeye

Tunamshukuru Mwenyezi Mungu aliye juu kwa kutuwezesha kukamilisha kikamilifu huduma ya kuwahudumia wajane katika eneo la Lugeye. Upendo na ushirikiano wenu umerudisha tabasamu na matumaini makubwa kwa mama zetu hawa. Katika huduma hii iliyofanyika, tumeweza kufanikisha yafuatayo: Wajane waliopokea misaada hii wametoa shukrani zao za dhati kabisa kwa kila mmoja aliyeshiriki kufanikisha jambo hili kubwa…