Kutoka: Pr. Isack – Mkurugenzi MAMM Mada: Mchanganuo wa Usaidizi na Matumizi ya Wajane wa Bukoli 1. Utangulizi na Muktadha Kazi ya utumishi na usaidizi kwa wajane katika eneo la Bukoli inaendelea vyema ikiwa na lengo kuu la kuwainua kiuchumi, kijamii na kiroho. Kupitia uratibu na usimamizi wa Idara ya MAMM, tumekuwa tukifanya juhudi za…