Mtumishi wa Mungu aliye juu Sana, Salamu. Napenda kukujulisha kuwa tarehe 30/04/2026 tutawahudumia wajane wa Cluster ya Mwanza. Tutawatembelea majumbani. Kindly ninakuomba uta support huduma hiyo kuanzia kiasi utakachoguswa na Bwana. Natanguliza shukrani zangu kwako. Asante sana.
NB: Jana tumewasha website yetu. mamm.co.tz
tutazidi kuiboresha siku kwa siku. safari moja huanzisha nyingine. Asante sana


