Mtumishi wa Mungu aliye juu Sana, Salamu. Tarehe 31/05/2026 tutawahudumia wajane wa Nassa Ginnery. Kwa unyenyekevu mkubwa ninakuomba uta Support wajane hawa kuanzia kiasi utakachobarikiwa.
Lengo letu ni kupata 520,000/=
Asante sana. By Pr Isack – Mkurugenzi Mama Askofu Magesa Ministry


